Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akipokewa na Mwenyeji wake, Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mehmet Ali Sahin mara baada ya Kuwasili katika Vıwanja vya Bunge la Uturuki Mjini Akara Uturuki leo. Spika na Ujumbe wa Wabunge saba upo ziarani Uturuki kwa Mwaliko wa Spika wa nchi hiyo. (Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge).
Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akiwa katika mazungumzo na Mwenyeji wake Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mehmet Ali Sahin (kulia) mara baada ya Kuwasili katika Bunge la Uturuki Mjini Akara leo,. Kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha Bunge cha Urafıkı baina ya Bunge la Uturuki na Tanzania Mhe. Lazaro Nyarandu
Waandishi wakipata taswiraz katika Mkutano baina ya Ujumbe wa Tanzania na Spika wa Bunge la Uturuki
Ujumbe wa wabunge toka Tanzania ukiongozwa na Spika wa Bunge wa Tanzania Mhe. Samuel Sitta, ukiwa katika mkutano wa pamoja na wenzao wa Bunge la Uturuki pamoja na Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mhe. Mehmet Ali Sahin kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya mihimili hii Miwili pamoja na kuhamasisha uwekezaji katika sekta mbalimbali za Maendeleo. Spika na Ujumbe wa Wabunge saba upo ziarani Uturuki kwa Mwaliko wa Spika wa chi hiyo.

Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan mara baada ya kumtembelea Ofisi kwake leo. Spika na Ujumbe wa Wabunge saba upo ziarani Uturuki kwa Mwaliko wa Spika wanchi hiyo
Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akiwa katika maongezi na Waziri Mkuu wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan mara baada ya kumtembelea Ofisi kwake leo. Ziara ya Mhe Spika nchini Uturuki inafuatia Mwaliko wa Spika wanchi hiyo alio utoa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Bunge la Uturuki na Tanzania pamoja na Kuhamasisha wawekezaji katika sekta mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment