Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira Mh. Dk Batilda Salha Burian akiwasilisha mada juu ya masuala ya Mazingira, Uchumi, Umaskini na Ikolojia katika mkutano wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa ulohusu masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika Hoteli ya Kempinski Jijini Dar es Salaam jana jioni.
(Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
0 comments:
Post a Comment