Kamanda wa FFU Ras Makunja akiongoza ffu wa Ngoma Africa katika mashambulizi! mjini Munich!!

kamanda wa Ngoma Africa band Ebrahim Makunja aka Ras Makunja,akikiongoza kikosi chake jukwaani huko Munich katika shamra shamra za onesho la usiku wa Jumamosi 8-05-2010,
ambapo washabiki wa muziki wa mji wa Munich na miji jirani walikubali kuwa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ni mzimu wa muziki wa kiafrika(picha kny Malumbo.Jr)
Naibu balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe.Ali Siwa akisakata mziki mkali
wa "Ngoma Africa Band" katika sherehe mjini Munich,ujerumani,zilizofanyika usiku wa jumamosi
8-05-2010 ambapo bendi ya Ngoma Africa iliwapagaisha hakili washabiki


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment