Mrisho amekaribisha vijana mbalimbali wale wanaochipukia katika sanaa ya ushairi na kuwaambia kila kitu kinawezekana ila muhimu ni wao tu kujituma wakati watakapoingia rasmi katika shindano hilo litakalojulikana kama (Dar Poert Slam Competition) linalotarajiwa kufanyika tarehe 29 Mei kabla ya mchujo utakaofanyika tarehe 22 Mei na kuwapata washiriki 20 watakaoingia kwenye fainali.
WASHAIRI 20 KUSHIRIKI SHINDANO LA USHAIRI JIJINI DAR ES SALAAM!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment