Rais Kikwete azindua Benjamin William Mkapa Special Economic Zone jijini Dar Es Salaam!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa wakitembelea baadhi ya maeneo ya ukanda maalumu wa uwekezaji kwaajili ya kuuza nje lijulianalo kama(Benjamin William mkapa Special Economic Zone) huko Mabibi,Ubungo jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. Rais Kikwete alifungua rasmi ukanda huo mpya wa uwekezaji
(Picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment