Mwenyekiti wa jumuiya Ya Afrika Mashariki, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia bunge la jumuiya hiyo jijini Nairobi leo asubuhi. . (Picha na Freddy Maro)
Rais Jakaya Kikwete(Katikati) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Abdirahin Abdi(kushoto) na Spika wa Bunge la Kenya Kenneth Marende(kulia) wakiwa katika viwanja vya Bunge la Kenya Muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili na kupigiwa wimbo wa taifa ambapo baadaye Rais Kikwete alilihutubia bunge la jumuiya hiyo.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Kikwete katika ikulu ya Nairobi ambapo viongozi hao wawili walifanya mazungumzo mafupi kabla ya Rais Kikwete kulihutubia bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
0 comments:
Post a Comment