Kiongozi wa Bendi ya Akudo Impact Christian Bella akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sterio Kinondoni jijini Dar es salaam leo wakati bendi hiyo ilipotambulisha wanenguaji wake wapya kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo pia mwanamuziki huyo melalamikia vyombo vya habari kutopiga nyimbo zao akisema tunatengwa wakati tuazo nyimbo nzuri ambazo ukizipiga kwenye redia utakubali kwamba utunzi wetu ni balaa.
Kundi la Vimwana wanenguaji hao wapya wa Akudo Impact likifanya vitu vyake jukwaani wakati wa mazoezi ya bendi hiyo katika ukumbi wa Stereo Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kundi la Vimwana wanenguaji hao wapya wa Akudo Impact likifanya vitu vyake jukwaani wakati wa mazoezi ya bendi hiyo katika ukumbi wa Stereo Kinondoni jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment