POLEPOLE TUTAFIKA, USAFIRI HATARI.

Hili sio basi ni lori aina ya Scania lenye namba za usajili T.833.BEF lilokutwa limesheheni mizigo na kama haitoshi abiria kibao mkoani Singida licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na vyombo vya usalama kupunguza ajari za barabarani kwa kupiga marufuku malori ya mizigo kusafirisha abiria kutokana na baadhi ya madereva kuendelea kukiuka sheria za barabarani.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment