Mwanamuziki Sean Kingston kutoka Marekani wakiongea na waandishi wa habari hawako pichani kwenye mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Dubble Tree Hilton Jijini Dar es salaam leo wakati alipozungumzia ujio wake katika kushiriki kwenye utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Music Award utakaofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee na kufuatiwa na onesho kubwa jumamosi akishirikiana na washindi mbalimbali wa tuzo za kilimanjaro Music Award, kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja.
Mwanamuziki Sean Kingston katikati akiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja kushoto na Meneja wa kinywaji cha Kiliamanjaro Lager baada ya kumalizika kwa mkutano wa waandishi wa habari Mwanamuziki huyo yuko nchini kwa mwaliko wa TBL kwa ajili ya kushiriki katika utoaji wa tuzo za Kiliamanjaro Music Award zitakazofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Waandiishi wa habari mbalimbali wakiwa katika mkutano na mwanamuziki Sean Kingston kutoka marekani katika Hoteli ya Dobble Tree Hilton jijini Dae re salaam.
0 comments:
Post a Comment