Mratibu wa Miss Kurasini Yason Mashaka katikati akiongea na waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Hadees leo asubuhi wakati alipoonyesha warembo wanaotarajiwa kushiriki kwenye kinyang'anyiro hicho kinachotarajiwa kufanyika kesho kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ali jijini Dar es salaam wengine waliopo kwenye picha nyuma ni warembo wanaoshiriki kwenye shindano hilo na kulia ni Sam Mshana Kutoka Mwasu Fashion na Kushoto ni Zuena Mhamed Mkurugenzi wa Miss Kurasini.
VODACOM MISS KURASINI KUFANYIKA KESHO EQUATOR GRILL!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment