Multchoice Tanzania na siku ya Afrika!!

Meneja Huduma wa Kampuni ya Multchoice Ronard Shelukindo akizungumza mbele ya waandishi wa habari mablimbali walioalikwa kwenye chakula cha usiku katika hoteli ya Southern Sun kilichoandaliwa maalum kwa ajili ya kukumbuka siku Afrika (Africa Day) ambapo mambo mbalimbali yaliyopo afrika kama utamaduni, siasa, utalii, na mengine mengi yanakumbukwa. kulia ni Meneja Uhusiano wa Multchoice Barbara Kambongi

Hapa Sijui Mhariri wa gazeti la Mwanaspoti Frank Sanga kushoto alikuwa anamwambia nini Mwandishi wa habari mwandamizi Jarida la Number 10 Eddo Kumwembe kama unavyowaona wakionekana kufurahia kitu.
Kushoto ni Judi Muya Katibu muhutasi wa Meneja mkuu Southern Sun, Ronard Shelukindo Meneja wa huduma Multchoice Tanzania na Barbar Kambongi Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja jana kwenye chakula cha jioni kilichoandaliwa katika kukumbuka siku ya (Afrika Afric Day)
Mwanamuziki Banana Zorro akitumbuiza wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na kampuni ya Multchoice kwenye Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam janakatika kukumbuka siku ya Afrika.
Ronard Shelukindo Meneja huduma wa Multchoice akifurahia jambo na mfanyakazi mwenzi.
Wadau kutoka RBP Miss Dar Inter College Angela na Vick wakipata menyu nzito kwenye Hoteli ya Southern Sun jana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment