KAMPUNI YA OPHIR KUWEKEZA NCHINI DOLLA BILIONI 7 KUTAFUTA MAFUTA NA GESI!!

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kulia) na Mwekezaji wa kampuni ya Ophir ,Mr Jonathan Taylor ambae ni Technical Director wa kampuni hiyo wakibadilishana nyaraka mara baada ya kutiliana saini leo jijini Dar es salaam, Mkataba huo ni kwaajili ya utafutaji wa gesi na mafuta baharini katika eneo la Kusini mwa Tanzania na utagharimu karibu shilingi zaidi ya trilioni 10 za Kiatanzania ambazo sawa na dolla bilioni 7 USD fedha za Kimarekani.
Picha zote na Mwanakombo. Jumaa-MAELEZO.
Hapa wakitiliana saini huku wawakilishi wa pande zote mbili wakishuhudia

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment