Timu ya Simba tayari imeshaingia uwanjani ikicheza na timu ya Atraco kutoka nchini Burundi katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati Kagame Cup mjini Kigali, ambapo kwa mujibu wa mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo na msemaji Ibrahim Maestro ni kama dakika 6 hivi tayari zimeshapita na timu zote hazijafungana yaani 0-0
MPIRA UMEANZA NA MPAKA SASA SIMBA - 0 ATRACO - 0!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment