TAYARI SIMBA INAONGOZA KWA GOLI MOJA DHIDI YA ATRACO YA BURUNDI LILILOFUNGWA NA MSHABULIAJI ROBERT SSENTONGO ALIYJIUNGA NA SIMBA AKITOKEA TIMU YA AZAM FC YA JIJINI DAR. LILILOFUNGWA KATIKA DAKIKA YA 30 KWA MPIRA WA ADHABU NA TIMU ZOTE ZIMEINGIA VYUMBANI KWA AJILI YA MAPUMZIKO BAADA YA KIPINDI CHA KWANZA KUMALIZIKA HUKU SIMBA IKIWA MBELE KWA GOLI HILO MOJA.
NI MAPUMZIKO SIMBA INAONGOZA KWA GOLI MOJA
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment