Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mh. George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Wizara hiyo leo wakati alipozungumzia juu ya matumizi ya lugha ya kiswahili katika idara na zote za kiserikali akitolea mfano wa waasisi wa taifa hili hayati Mwalimu J.K.Nyerere na hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa ambao walikitumia vilivyo kiswahili na kukieneza ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania akitolea mfano pia wa Mzee Rashid Kawawa ambaye aliwahi kuandika waraka wa matumizi ya kiswahili katika shughuli za kiserikali.
Mkuchika ataka watanzania kutumia kiswahili katika shughuli za kiserikali!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment