Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho yaliyoko Buguruni kuhusiana na mkutano wa watafiti wa uchumi ulioshirikisha nchi zaidi ya 60 duniani kote, uliomalizika hivi karibuni jijini Helnsik Finland ambapo ulijadili mtikisiko wa uchumi duniani, kupanda kwa bei ya vyakula na Uchafuzi wa Mazingira ambapo nchi ya Marekani imeonekana kuwa ndiyo inayoongoza kwa kuchafua mazingira huku kongamano hilo likizisifia nchi za China na India ambazo zimeonekana kukua kiuchumi katika miaka ya hivi karibuni,
aliyeko kulia katika picha ni Ashura Mustafa Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF
0 comments:
Post a Comment