Tafadhali maofisi husika na watoa huduma bila kujali kama nisekretari, muuguzi, daktari, injinia, postamasta, dereva, utingo,tandiboi muuza nguo, mama ntilie, baba lishe na kazalika, end ofthinking kapasiti, tafadhali sana heshimuni kazi na wajibu wenu!Nasi 'wadau' tukiyaona haya tuyakemee kiviiiile.Senkyu.
Hii nimeipokea kutoka kwa mdau anayejiita MC KESSY na sijaiedit ili wadau mpate ladha fulani mkiisoma kazi kwenu!
1 comments:
Kaka John,
Nakuambia rasmi, hayo maneno yaliyopo chini ya kibonzo hicho niliyaandika mimi mwenyewe Subi (I have the original email) na kuyatuma kwenye e-groups mbalimbali kama vile TAFES, PiCii, GKNIF na muXalumni na kwenye tovuti yangu www.wavuti.com, hata na hivyo, sichukii wala kupinga kutumwa kwa wengine kwani ndivyo nilivyotaka ujumbe uwafikie wengi - kia kada niliyoikumbuka.
Shukrani za pekee ni kwa Nathan aliyechora kibonzo hicho kilichofikisha ujumbe kusudiwa.
Wasalaam,
Da Subi - wavuti.com
Post a Comment