Wanenguaji wa bendi ya Msondo wakifanya vitu vyao jana kwenye bonanza linalofanyika kila jumamosi kwenye viwanja vya sigara TCC Chang'ombe jijini Dar es salaam, ambapo pia kunakuwa na michezo mbalimbali na viburudisha vingi bobanza hilo linadhaminiwa na bia ya Safari Lager inayotengenezwa na kampuni ya bia ya TBL. Picha kwa hisani ya www.burudan.blogspot.com
Kutoka kushoto na wapiga vyombo wa bendi ya Msondo Music Band Khamis Mnyupe saxaphone Dr Said Mabera mpiga gitaa la Sollo na Roman Mng'ande saxaphone
Kutoka kushoto na wapiga vyombo wa bendi ya Msondo Music Band Khamis Mnyupe saxaphone Dr Said Mabera mpiga gitaa la Sollo na Roman Mng'ande saxaphone
0 comments:
Post a Comment