Marais Jakaya Kikwete na Emilio Guebuza wa Msumbiji wazindua Daraja la Umoja Mtambaswala!!

Sehemu ya Daraja la umoja lililopo eneo la mtambaswala,wilaya mpya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara lililofunguliwa na Marais Jakaya Mrisho Kikwete na Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment