Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa KilimanjaroMhe. Vicky Nsilo Swai,akishirikiana na Kamati ya maandalizi Dar es Salaam Ana Heshima ya kukualika/kuwaalika kuhudhuria hafla ya Chakula cha Jioni cha Hisani Mei 14 2010,saa 1.00 kamili jioni kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro wa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya M. Kikwete.
Kiingilio: Shs. 50,000 kwa mtu mmoja Shs. 60,000 kwa Bwana na Bibi
Ukumbi: Golden Tulip Hotel,Masaki,Dar es Salaam
Tiketi zinapatikanaOfisi za:
Frontline management
2nd Floor S&F Building
Mwinjuma Road, Kinondoni
Tel: 0614 105 136
Email: info@frontline.co.tz
Au wasiliana na:
Brig Gen (rtd)- R.N. Chonjo- Mwenyekiti,Cell: 0754 320 740
Gabriel Nderumaki- Katibu Cell 0713 323 762
Innocent Macha- Mtunza Hazina, Cell: 0754 222 036
Aggrey Marealle- Mjumbe Cell: 0784 266 782

0 comments:
Post a Comment