Buriani Batilda akutana na mratibu wa Shirika la mazingira la Umoja wa mataifa !!

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Mh. Dkt Batilda Salha Buriana kulia, Akimkaribisha Bwana Henry O. Ndede ambae ni Mratibu wa Shirika la Umoja wa Taifa la Mazingira UNEP toka makao makuu ya Shirika hilo yaliyopo nchini Kenya alimpomtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Dkt Batilda Burian, akisisitiza jambo alipokuwa akizumza na ujumbe toka makao makuu ya Shirilika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP ulipotembelea Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli jijini leo kujadili masuala mbali mbali ya Mazingira. (Picha na Evelyn Mkokoi)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment