Ziara ya Wanasheria wa Tume ya kurekebisha sheria Mbinga, Songea Mkoani Ruvuma!!

Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria (LRCT) Flora Tenga aliyesimama akizungumza mbele ya Watumishi wa Serikali kutoka idara mbalimbali wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakati timu ya wanasheria wa Tume ilipofanya ziara ya kutoa elimu ya sheria kwa umma wilayani humo, wengine ni Mwandishi Mkuu wa Sheria wa Tume Caritas Mushi katikati na Ofisa Sheria Flaviana Charles. (Picha Zote na Munir Shemweta wa Tume ya Kurekebisha Sheria)
Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Flaviana Charles akionesha msisitizo wakati akiwasilisha mada ya Sheria ya Mirathi mbele ya Makatibu Tarafa na Wazee wa Mbinga mkoani Ruvuma.

Baadhi ya Watumishi wa Serikali kutoka idara mbalimbali za Serikali Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakifuatialia mada zilizokuwa zikitolewa na timu ya wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta




Baadhi ya Makatibu Tarafa na Wazee wa Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakifuatialia mada zilizokuwa zikitolewa na timu ya wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment