Udanganyifu wa wauza mafuta waendelea Je EWURA mmelala!!

Dereva wa Gari la Tume ya Kurekebisha Sheria akijaribu kuangalia gari baada ya kuzima kutokana na kuwekewa mafuta yaliyochanganywa na maji katika kituo kimoja cha mafuta mjini Songea.Hapa wako njiani kuelekea Mbinga kutoa elimu ya Sheria kwa Umma Wilayani humo

Maji yaliyochanganyika na mafuta yakitiririka Hawa wahuni wanaochanganya mafuta na maji kwa lengo la kjiongezea kipato kwa njia zisizohalali jamani inabidi vyombo vinavyohusika viwachukulie hatua hwa wajanja kutokana na kitendo hicho jamani EWURA mko wapi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment