WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO YAWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WAPYA!!

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akifungua mafunzo elekezi ya waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo mjini Dar es salaam. Mafunzo hayo ni sehemu ya utaratibu wa Serikali wa kuwaelimisha watumishi wake wapya kwa ajili ya kuongeza ufanisi mahali pa kazi.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo elekezi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda(hayupo pichani) wakati wa ufunguaji mafunzo elekezi leo mjini Dar es salaam.
Picha na tiganya vincent-maelezo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment