Katibu Mkuu wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya Mtandao wa Simu Tanzania TEWUTA Bw. Junus P. Ndaro akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu kuomba Serikali kulinusuru shirika la Posta Tanzania kutokana na hali mbaya ya kifedha inayolikabili kwa sasa kitu kinachopelekea hali mbaya katika kujiendesha na hata kwa wafanyakazi wenyewe katika picha kulia ni Erica Frank Afisa kutoka TEWUTA.
TEWUTA WAOMBA SERIKALI KULINUSURU SHIRIKA LA POSTA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment