Meneja mauzo wa Zantel Bw. William Mpinga (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya dondoka sauzi na Hyundai itakayowawezesha wateja wa Zantel kujishindia zawadi nyingi ikiwemo tiketi ya kwenda Afika Kusini kushuhudia mechi za kombe la dunia, (kati) ni Mkuu wa Mauzo wa Hyundai Bw. Anthony Nyeupe na kulia ni mwakilishi kutoka kammpuni hiyo.
Zantel yazindua promosheni ya dondoka sauzi na Hyundai
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment