Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Peter Msolwa wakitoka kwene ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, leo Aprili 16, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati)
na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere , Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati)
na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere , Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere , Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Aprili 16, 2010.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment