MISS UNIVERSE WAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA KINYANG'ANYIRO APRILI 23!!

Mkurugenzi wa Kampuni yaCompas Communicatins Maria Sarungi ambaye pia ndiye mwandaaji wa Miss Universe Tanzania akiongea mbele ya wageni mbalimbali na warembo wakati warembo wapatao 20 walipoingia rasmi kambini kwa muda wa wiki moja katika hoteli ya Girrafe Ocean View Mbezi kujiandaa na shindano hilo linalotarajiwa kufanyika aprili 23 kwenye ukumbi wa Mlimani City baadae mwaka huu jijini Dar es salaam.
(picha na Mohamed Mambo)
Warembo wanaoshiriki mashindano ya Miss Universe wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kuanza rasmi kwa kambi yao katika Hoteli ya Giraffe Dar es Wsalaam leo.
Miss Universe wa mwaka 2009 Illuminata James, akimkagua mmoja wa waremmbo, Warembo wanaoshiriki mashindano ya Miss Universe 2010 , Nezia Anthony wakati wa kuanza rasmi kwa kambi yao katika Hoteli ya Giraffe Dar es Wsalaam leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment