WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA MAKATIBU MUHTASI DODOMA LEO!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi Makatibu Muhtasi kabla ya kufungua Kongamano lao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma, Aprili 24, 2010 Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Celina Kombani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini DOdoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja baada ya kufungua Kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Aprili 24, 2010. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani, na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ndugu Maswi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja baada ya kufungua Kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Aprili 24, 2010. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. ehe jamani kasi mpya nguvu mpya haijaifikia hii sekta ya makatibu mustakhar maana naona ngoma nzito tupu,

Post a Comment