Rais Kikwete amtembelea Mbunge Kimaro Hospitalini Muhimbili!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza leo asubuhi na Mbunge wa Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro alyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kuugua shinikizo la damu juzi akiwa bungeni mjini Dodoma(Picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment