Wanachama wapya wa UWT kutoka vyuo vya Dodoma wapewa kadi!!

Naibu Kaibu Mkuu wa UWT Taifa Asha Bakari akimkabidhi kadi ya uanachama wa CCM Bi Situmai Makae wakati akiwaapisha wanachama wapya Wa UWT zaidi ya 800 jana mkoani Dodoma kutoka Vyuo vinne , CBE, Mipango, St Johns na UDOM. Picha zote na Mwanakombo Jumaa.


Wanachama wapya wa UWT kutoka vyuo mbalimbali Mkoani Dodoma wakiapa kuwa watiifu kwa chama chao.
Mpiga zeze maarufu nchini Dr. Masalia akipiga zeze katika sherehe hiyo jana

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment