SAID LUBEYA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANACHAMA WA SIMBA BAADA YA KUHOJIWA NA KAMATI YA UCHAGUZI YA SIMBA!!

SAID LUBEYA akizungumza na baadhi ya wanachama wa simba mara baada ya kuhojiwa na kamati ya uchaguzi ya simba kutokana na kumuwekea pingamizi mgombea nafasi ya mwenyekiti HASSAN DALALI.
Said Lubeya alimuwekea pingamizi aliyekuwa mwenyekiti wa Simba Hassan Dalali kwa madai kuwa hana elimu ya kidato cha nne, hivyo hana sifa ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa Simba nafasi aliyokuwa akiishikilia kbla ya kuitishwa kwa uchaguzi huo, lakini pia akiwa Bosi wa Lubeya huku Lubeya akiwa katibu mwenezi wa klabu ya Simba nafasi ambayo kwa sasa haipo tena kutokana na mabadiliko ya katiba mpya ya Simba chini ya muongozo wa FIFA na TFF.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment