Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Spika wa Bunge Samuel Sitta (kulia) wakati alipoongoza kikao cha wabunge hao kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 18, 2010. Kushoto ni Kaimu Katibu wa wabunge wa CCM na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama. .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Muhambwe, Felix Kijiko wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 19, 2010.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Muhambwe, Felix Kijiko wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 19, 2010.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wabunge wa CCM wakiwa kwenye kikao chao kwenye ukumbi wa Msekwa Mjini Dodoma Aprili 18, 2010
0 comments:
Post a Comment