Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air, Bw. Alphonso Kioko(kushoto) akisalimiana na Meneja Masoko wa benki ya Stanbic, Bw. Abdallah Singano. Katikati ni Bi. Mboni Magawa wakati wa sherehe za uzinduzi wa wasafiri wa mara kwa mara wa shirika hilo sherehe iliyoambatana na kukabidhiwa kwa kadi maalumu kwa wateja wanaosafiri mara nyingi sherehe hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana usiku.(Picha Mohamed Mambo)
Baadhi ya wateja wa Shirika la Ndege la Precision Air, wakifuatilia matukuio mbalimbali wakati wa sherehe za uzinduzi wa wasafiri wa mara kwa mara wa shirika sherehe iliyofanyika Dar es Salaam jana usiku.(Picha Mohamed Mambo)
0 comments:
Post a Comment