Jiunge na Vodacom Tanzania sasa hivi na uongee chini ya robo shilingi kila unapojiunga na CHEKA TIME ya Tsh 200 au Tsh 500. Kujiunga na CHEKA TIME ya Tsh 200, piga *147*05# na kwa kujiunga na CHEKA TIME ya Tsh 500, piga *147*07# na uongee siku nzima isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4 usiku kila siku Jumatatu hadi Jumapili na siku za sikukuu.
ONGEA CHINI YA ROBO SHILINGI UKIWA NA CHEKA TIME KUTOKA VODACOM!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment