MSONDO KAMA KAWA WAKAMUA AMANA SIKU YA PASAKA!!

Wanamuziki wa Bendi ya Msondo Papa Upanga katikati na Shukuru majaliwa Kulia wakiimba katika onyesho lao lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wao wa nyumbani wa Amana jijini Dar es salaam wakati wa sikukuu ya Pasaka.
Khamis Mnyupe na Roman Mng'ande wakipuliza saxphone wakati wa onyesho la bendi yao ya Msondo usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment