MASHUJAA WAENDELEZA LIBENEKE LA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE!!

Mwanamuziki mkali wa Kupiga Gitaa la Sollo kutoka bendi ya Mashujaa Elystone Angai akicharaza nyuzi za gitaa wakati bendi yake ilipofanya onyesha kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ali Jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo bendi hiyo imekuwa ikifanya maonyesho katika kumbi mabalimbali jijini ikiwa ni pamoja na ukumbi wao wa nyumbani wa Mashujaa Vingunguti pamoja na Bonanza linalofanyika kila jumapili kwenye viwanja vya Magereza Ukonga.
Flora Bambucha kulia Mnenguaji wa Bendi hiyo akiongoza wanamuziki wenzake kyulishambulia jukwaa.

Waimbaji wa Bendi ya Mashujaa wakishambulia jukwaa usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Equator Grill mtoni kwa Azizi Ali jijini Dar es salaam.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment