HMARK MENS CASUAL WEAR WASHUSHA PAMBA MPYA!!

Hili ndilo duka la HMark Mens Casual Wear lililopo Mtaa wa Msimbazi na Agrey Kariakoo jengo la tatu kushoto ukiwa unaelekea Makutano ya Mtaa wa Kongo na Agrey jijini Dar es salaam, Duka hili ni maarufu kwa kuuza nguo za kiume za aina mbalimbali hebu watembelee dukani kwao ili ubadilike kimavazi Namba zao za simu ni 255655 117777 au simu ya mkononi 0655468800 wapigie upate pamba Babukubwa.
Mambo ya Linen haya hebu cheki mdau.
Cheki pamba hizi.
Nguo zikipangwa katika utaratibu mzuri dukani hapo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment