Lovely Gamble on world Service


Kwa mara nyingine tena ningependa kuwatolea Intavyu siku tuliyotembelea rasmi na world service radio katika studio zetu za Urban Pulse hapa Mjini kusoma UK tukiwa na Presenter Fred Ili kujadili Movie ya Lovely Gamble.
Pia aliweza kukutana na baadhi ya wanatimu wa lovely gamble na pia utapata commenti za Steve kanumba mwenyewe jinsi anavyoitwa siku hizi. Unaweza kupata full Intavyu kwa kubofya hapo chini



pia unaweza kuangalia trailer ya movie inayosubiriwa kwa hamu sana Tanzania 28.4.10 club Billcanaz na hapa mji wa kusoma UK 29.5.10


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment