Hapa niko na wadau wa muziki katika moja ya maonyesho ya bendi kongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki African Stars Band wana wa "kutwanga na kupepeta" hapa ilikuwa kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es salaam katika onyesho lililofanyika hivi karibuni tukaamua kupozi kwa picha mara baada ya mazungumzo ya hapa na pale juu ya maendeleo ya muziki wetu nchini, katikati ni Mkurugenzi wa African Stars Band Asha Baraka, mwandishi wa habari za burudani mwandamizi habari za burudani gazeti la Tanzania Daima Khadija Khalili na mi mwenyewe kamanda wa FULLSHANGWE.
KUKANDAMIZA PICHA ZA POZI NA WADAU IMO JAMANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Pedeshee Bukuku nakuona hapo,naona kamanda kitambi hicho..haya bwana mzee wa chuo..
Mdau wako wa siku nyingi tangu kitega uchumi...(US NAVY)
Post a Comment