SIDDY MGUMIA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE!!

Mwandishi mwandamizi wa gazeti la The African Siddy Mgumia akionyesha keki yenye jina lake ambayo alikata na kula na marafiki zake pamoja na ndugu na jamaa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwao
Hapa rafiki yake kipenzi Hafsa akimlisha keki Siddy Mgumia wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
Hapa akiwa anakabidhiwa keki na marafiki zake kushoto ni Hafsa Omary na kulia ni Khadija Ally
Siddy Mgumia akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake nyumbani kwao mara baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa..


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment