HII NDIYO ADHA YA UPATIKANAJI WA MAJI MANISPAA YA DODOMA!!

Hawa ni wakina mama wa kijiji cha Mgowa katika manispaa hiyohiyo ya Domoma wakitoka kuchota maji kwa umbali mrefu kutokana na matatizo ya upatikanaji wa maji katika vijiji vyao manispaa hiyo hivi sasa inajaribu kutandaza mabomba ya maji katika vijiji mbalimbali ili kuwapatia maji safi na salama wakazi wa manispaa hiyo.
Akina mama kutoka kijiji cha Mchemwa katika mmanispaa ya Dodoma awakishiriki katika kuchimba mtaro wa kutandaza mabomba ya maji ili wawezea kupata maji katika kijiji chao hivi karibuni.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment