Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 23, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu Mkuu Mstaafu, Rose Lugembe (kulia) akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Balozi Abdi Mshangama kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Apili 23, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani akiwa katika picha ya pamoja na wanawake kutoka Igunga , Tabora kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23, 2010. Wanawake hao walialikwa na Mbunge wa Viti Maalum, Aziza Sleyum Ally (kulia kwa Waziri ) na kushoto ni Mbunge wa Sikonge, Said Juma Nkumba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment