MANENO OSWALD KUTIMUANA NA MADA MAUGO KESHO DDC KARIAKOO!!

Kama ziilivyo taratibu za mapambano ya ngumi za kulipwa lazima yapate kibali kutoka kwa viongozi wa vyama vya ngumi za kulipwa husika katika nchi kikiwemo TPBO ambapo rais wa chama hicho ABDALLAH YASSN amezungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa DDC Kariakoo kuhusiana na pambano kati ya MANENO OSWALD na MADA MAUGO lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa DDC KARIAKOO kesho jumamosi jioni.
Amesema promota wa pambano hilo ametimiza na kufuata taratibu zote hivyo pambano hilo ltafanyika na inaonyesha litakuwa ni la kukata na shoka kutokana na maelezo ya mabondia hao kuhusiana na maandalizi yao. PICHA KWA HISANI YA

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment