Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof. David Mwakyusa akisisitiza jambo kuhusu serikali kuendelea kuimarisha hospitali na vituo vya afya kwa kuvipatia aina mpya ya darubini za kuchunguzia vimelea vya kifua kikuu pamoja na usambazaji wa dawa sahihi za kutibu kifua kikuu katika hospitali na vituo vya afya wakati akitoa Tamko kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kudhibiti Kifua Kikuu Duniani yatakayofanyika kitaifa wilayani Karatu mkoani Arusha. Kushoto ni Katibu mkuu wa wizara hiyo Bi. Blandina Nyoni.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment