kwanza naomba kuchukua nafasi hii kukukaribisha Rasmi siku ya Jumamosi kwenye Bash ya watoto wa IFM ambapo watakuwa na Michano Free Style pamoja na mashindano ya Beach Volleyball na Beach Football katika Fukwe ya Pub ya Chadibwa 2 km from Kigamboni Ferry baada ya Mikadi.
Bash hiyo wameipa theme ya Stress Free Party baada ya matkeo ya mitihani si unajua tena. wameamua kukutanisha pande mbili Smoke Zone na Screen Savers, Smoke zone ni wale wanafunzi wagumu (Ndumu kwa sana) na Screen Savers ni wauza Sura.
Mshindi kati ya hao wote watapata Free Recording Deal kwa Studio moja mpya ya mtoto mmoja Mbongo toka Mamtoni na Freen Membership Card kwa 1 Year pale Chadibwa ambapo watapata 10% Discount kwa vinywaji na Vilaji kwa kipindi hicho cha Mwezi mmoja.
Kaka wewe Membership Card yako ipo Mkuu.
Vile vile kuanzia Jumamosi ya Tarehe 27 this week kutakuwa na Disco ambalo litaporomoshwa na ma Dj watatu Dj John Dilinga, DJ Q na DJ Juicy karibu sana na story yake ni hii hapo chini na

0 comments:
Post a Comment