Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa jimbo la Singida mjini akimsimika Mh.Dk Raphael Chegeni Mbunge wa Jimbo la Busega kuwa kamanda wa Vijana CCM, wilayani Magu,kijiji cha busega,Baada ya zoezi la kumsimika Dk.Raphael Chegeni, Mh.Mohammed Dewji pamoja na mwenyeji wake walianza Safari na kuelekea katika Kijiji cha Lamadi kwa ajili ya harambee ya kuchangia ujenzi wa AMANI SACCOS katika kijiji hicho ambapo Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini alichangia ujenzi wa SACCOS hiyo kwa kutoa Fedha Taslimu za Kitanzania shilingi milioni 4, harambee hiyo ilikusanya jumla ya shilingi milioni 18 ikiwa ni fedha taslimu na ahadi
Mohamed Dewji (MO) na Dk.Chegeni wakipungia mikono wananchi na wageni waliohudhuria tukio hilo la kusimikwa kwa Mbunge wao
Mohamed Dewji (MO) na Dk.Chegeni wakipungia mikono wananchi na wageni waliohudhuria tukio hilo la kusimikwa kwa Mbunge wao
0 comments:
Post a Comment