MASHINDANO YA VODACOM CLOSING REGGATA 2010 YAFANYIKA!!

Nahodha (Commodore) wa Yacht Club, Commodore Spiros Manolouis (kushoto) akitoa zawadi kwa David Scott mmoja wa washindi katika mashindano ya Vodacom Closing Regatta 2010 yaliyofanyika Yacht Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Yalidhaminiwa na Vodacom.
Nahodha (Commodore) wa Yacht Club, Commodore Spiros Manolouis (kushoto) akitoa zawadi kwa Niels Sulzer, mmoja wa watoto walioshinda mashindano ya Vodacom Closing Regatta 2010 yaliyofanyika Yacht Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Yalidhaminiwa na Vodacom.

Waendesha mashua wakichuana ili kumpata mshindi katika mashindano ya Vodacom Closing Regatta 2010 yaliyofanyika Yacht Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Yalidhaminiwa na Vodacom.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment