Jana ilikuwa ni siku maluum kwa watoto wanafunzi wa shule za msingi wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kuhudhuria katika semina ya watoto kuhusu sekta ya maji .
semina imewashirikisha jumla ya watoto 150 na wakajadili mambo mbalimbali zikiwemo cchangamoto zinazokabili watoto kutokana na tatizo la kutopata maji ya kutosha. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- Maelezo Pwani.
Watoto wakiwa katika semina

0 comments:
Post a Comment