Mshindi katika draw ya NITASOMA iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuokikuu cha Tumaini Iringa.Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshindazawadi ya kila wiki ijulikanayo NITASOMA MOBILE .Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu. Kupitia ujumbe NITASOMA kwenda 15767 Pitia www.nitasoma.blogspot.com kwa maelezo zaidi ELIMU KWANZA.
TUMAINI UNIVERSITY YATOA MSHINDI WA NITASOMA MOBILE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment